Post a Comment. Home About Contact. Nahau za kiswahili, maana na matumizi. Maelezo mafupi yanatakiwa kukushirikisha katika utajiri mkubwa wa lugha ya Kiswahili katika hadithi, misemo methali, nahau, vitendawili na semi mbalimbali. Hakika hizi ni tunu zenye maarifa, hekima na sanaa iliopo katika jamii ya Waswahili. Maudhui yaliyomo humu yanalengo l kutumika nyumbani na shuleni. Nahau ni nini? Ni Maneno ya kwaida yenye maana ya uficho ambayo hhaiendani na maana ya kawaida.

Kwa maana nyingine nahau ni Maneno ya kawaida ambayo hayana maana ya kawaida. Hapa mtu kuwa katka haliya hatari. Kwa nini nahau zipo?

nahau za kikwetu

Nahau hutumika kutoa ujumbe kwa njia ya uficho. Njia hii hupunguza makala hutoa heshima. Kwa mfano unasema.

Angali mifano ya nahau ifuatazo:. Pia kinapatikana mtandaoni. By editor Email This BlogThis! M Kiswahili. No comments:. Newer Post Older Post Home. Subscribe to: Post Comments Atom.For Schools and Bookshops and enjoy hefty discounts. Save money and time by shopping and pay online.

Free notes, tests, past examinations and video lessons. Civic and Moral Education With By Ape Network. Social Studies With Activities Science and Technology With Ac English Language With Activiti Mathematics With Activities Pu Kiswahili kwa Vitendo Kitabu c Vocational Skills with Activit Kiswahili kwa Vitendo kitabu c Science and Technology with Ac Kiswahili kwa vitendo Kitabu c Kuandika kwa Vitendo Kitabu ch Kusoma kwa Vitendo kitabu cha Kusoma kwa Vitendo Kitabu cha Kuandika kwa vitendo kitabu ch Comprehensive Primary Revision Mabala the Farmer By Richard S.

Comprehensive Basic Mathematic By Benhard P. Comprehensive Practical Geogra By Francis Mnyawi. African History Up to 19th C. By John Ezra. African Hisory from 19th to Misemo ni kauli fupifupi ambazo hutumiwa na jamii kusisitiza ukweli wa jambo fulani. Kauli hizi huunganisha mawazo au dhana tofauti kuwa mwili mmoja na kupitisha ujumbe uliodhamiriwa na mnenaji au mwaandishi.

MISEMO,NAHAU NA METHALI ZA KISWAHILI

Pia, misemo ni fungu la maneno ambalo hutumiwa na jamii tofautitofauti kwa lengo la kusisitiza maadili fulani. Vitendawili huburudisha kwani hutegwa kwa njia ya uchangamfu na ushindani.

Huwaleta watu pamoja huunganisha jamii kwani vinapotegwa watu hukusanyika pamoja…. Mwenye pupa hadiriki kula tamu Mtu mwenye haraka asiye na uvumilivu huwa hafanikiwi Mwenye tumbo ni tumbole, angafunga mkaja Mkaja…. Mifano ya mizungu ni: 1. Ifuatayo ni misemo ya kiswahili na maana yake.

Kupata jiko. Huu msemo haumaanishi kununua au kuazimz jiko la kupikia. Una maana ya kupata mke au kuoa. Kwa hivyo, mtu anaposema nimepata jiko anamaanisha kuwa ameoa. Kuangusha uso. Maana ya huu msemo ni kuona aibu au soni mbele ya watu kwa jambo mbaya ulilolitenda. Mfano wa matumizi ni kama: ukitenda mema hapatatokea haja ya kujishusha hadhi kwa kuangusha uso kila wakati. Kuenda mbwehu. Maana yake ni kutoa hewa mdomoni. Naneno lingine lililo na maana sawa na kuenda mbwehu ni kuteuka.

Nahau

Mfano wa matumizi ya msemo huu ni kama vile: Kwenda mbwehu ugenini ni dalili ya ulafi. Enda msobemsobe. Maana kamili ya msemo huu ni kuenda pasipo na utaratibu wowote. Pia huweza kumaanisha kuenda pasipo na hiari. Mfano katika sentensi: alipougua malaria alikuwa akienda msobemsobe. Enda mvange. Kwa mfano, namshukuru Mola kwa sababu biashara yangu haikuenda mvange.

Chokoza nyuki mzingani. Mzinga ni nyumba ya nyuki.February 8, by Kitoto. Waandishi wachache waliopo ama hufanya kwa masomo kupata shahada au hadithi za chap chap zinazolipuliwa kupata fedha na umaarufu wa haraka haraka. Katika fani za kitaaluma pia tumezorota. Wageni hasa Wazungu wameandika kuhusu mavazi yetu mathalan kangamila, desturi, imani, maradhi, wanyama, nk.

Hatuandiki kuhusu mambo tunayoyafanya wenyewe kuweka kumbukumbu kwa vizazi vijavyo. Tunangojea tuandikiwe na wageni. Tumejaa uvivu, kutojali…nk Vyombo vya habari tu ndivyo vinategemewa kuweka kumbukumbu. Na hivi vimeishia kulipua. Lugha ya wanahabari wanaonza leo hairidhishi kwa kuwa hawasomi.

Mabloga wengi wananukuu tu na kunyofoa kazi za wenzao na kuzitoa upya.

nahau za kikwetu

Mwanahabari apaswa kusoma kitabu kimoja kwa mwezi kuboresha nahau, maudhui, msamiati, maarifa nk. Taaluma ya upishi ni muhimu sana. Taaluma hutaka utafiti na kazi. Muhimu kwa kuwa kila siku wanadamu hula msosi. Pili, wageni, mahoteli na tafrija hutafuta vyakula vyetu.

nahau za kikwetu

Mara nyingi vitabu vilivyoandikwa kuhusu mapishi ya Kitanzania vimetolewa na wageni waliotutembelea kipindi kifupi.

Watanzania hatujaandika vitabu, hususa kwa Kiingereza — lugha yetu ya kibiashara, kielimu na kimataifa- baada ya Kiswahili. Kitabu cha kwanza cha mapishi kiliandikwa na mkewe aliyekuwa Mkuu wa Majeshi ya Tanzania JW mwaka Wageni wengi wamekuwa wakikitumia kujifunza milo mbalimbali ya kikwetu. Toleo hili linazingatia zaidi mapishi ya visiwani na kina picha na maelezo mazuri.

Kinapatikana duka la Amazon kwa dola kuendelea. Picha za kitabu cha Miriam. Samaki wa kubanika…. Mwaka huu tumepata cha tatu ambacho kimejaribu kuendeleza jitihada za hivyo viwili. Mbali ya picha, juu ya mapishi mbalimbali ya bara na visiwani, Miriam Rose Kinunda ni mjuzi wa matumizi ya mtandao. Awali alikuwa mmoja wa washindi watano wa Blog bora Tanzania pamoja na akina Michuzi.

Kabla ya kutoa kitabu alishafanya kazi kubwa ya kujenga tovuti ya jina la Kitabu — Taste of Tanzania- humo mna maelekezo ya Kiswahili na Kiingereza.

Nahau za kiswahili, maana na matumizi

Anathibitisha pia ujuzi wa lugha na kumjengea msomaji fani hiyo. Anasema katafiti kitabu miaka mingi na kitabu kilimchukua miaka mitatu kumaliza… Vile vile Miriam Rose amekuwa akitoa maelezo ya video kupitia You Tube. Kifupi huyu ni mtu wa kisasa; anakwenda na wakati. Kitabu chake kinapatikana mtandao wa Amazon soko la kwanza kwa uuazaji wa bidhaa duniani na vile vile vitabu vinatazamiwa kuwepo maduka yote makubwa ulimwenguni.Skip to content Adhabu ya kaburi aijua maiti, The touture of the grave is only known by the corpse Akiba haiozi, A reserve will not decay Asifuye mvuwa imemnyea.

He who praises rain has been rained on. Akili nyingi huondowa maarifa. Great wit drives away wisdom Asiye kubali kushindwa si mshindani. He who does not admit defeat is not a sportsman Atangaye na jua hujuwa. He wanders around by day a lot, learns a lot Asiye kuwapo na lake halipo.

If you are absent you lose your share Avumaye baharini papa kumbe wengi wapo. Shark is the famous one in sea the but they many others Baada ya dhiki faraja. After hardship comes relief.

nahau za kikwetu

Baniani mbaya kiatu chake dawa. An evil Indian but his bussiness is good. Bendera hufuata upepo. A flag follows the direction of the wind.

Bilisi wa mtu ni mtu. The evil spirit of a man is a man. Chamlevi huliwa na mgema. The drunkard's money is being consumed by palm-wine trapper. Chanda chema huvikwa pete. A handsome finger gets the ring. Chombo cha kuzama hakina usukani. A sinking vessel needs no navigation. Chovya - chovya yamaliza buyu la asali. Constant dipping will empty goud of honey Dalili ya mvua mawingu. Clouds are the sign of rain Damu nzito kuliko maji.

Blood is thicker than water Dawa ya moto ni moto. Fadhila ya punda ni mateke. Gratitude of a donkey is a kick.

Fimbo ya mbali hayiuwi nyoka. A wepon which you don't have in hand wont kill a snake. Fuata nyuki ule asali.Asante sana kwa kazi nzuri umeniweka safi sana kwa nahau zako mungu azidi kukufunulia. Unknown October 16, at PM. Unknown July 6, at AM. Unknown December 9, at AM. Unknown March 13, at AM. Unknown January 23, at AM. Unknown May 18, at AM.

Unknown May 21, at AM. Unknown June 26, at AM. Unknown February 20, at AM. Unknown June 23, at PM. Unknown October 31, at AM. Unknown July 3, at AM. Unknown July 31, at AM.

Unknown November 27, at AM. Unknown December 10, at AM. Unknown February 3, at AM. Unknown April 19, at AM. Unknown October 22, at AM.

Unknown January 15, at AM. Unknown March 29, at AM. Newer Post Older Post Home. Subscribe to: Post Comments Atom. Je, unaridhika na habari za blogu hii? Hii maana yake ni kwamba Wazungumzao lugha ya Kiswahili wote mnakaribishwa mlioko duniani kote. Hivyo, mwenye jambo lolote lile la kiasili yake mwenyewe au alilolisikia, karibuni sana katika uwanja huu tuweke na kuhifadhi tamaduni zetu ili watoto, wajukuu, vilembwe na vitukuu vyetu vije kusoma tamaduni zetu zinazopotea.

Hata ukiwa na semi, methali, misemo, nyimbo asilia pia karibu uziweke humu kwa ajili hiyo hiyo. Kwa upande wa semi, methali, misemo na nyimbo hata hivyo, ni muhimu kuzitafsiri katika Kiswahili ili wasiofahamu lugha ya wimbo huo nao wapate kufaidika kama nilivyotafsiri kichwa cha habari hiki cha kwanza katika blogu hii.Aibu ya maiti, aijua mwosha. Only a Moritician knows the real shame of the dead.

No man is a hero to his wife. Ajidhaniye amesimama, aangalie asianguke. Akikaanga, tu chini ya gae. Misemo ni kauli fupifupi zinazotumiwa na jamii ili kusisitiza ukweli wa jambo fulani. Misemo huunganisha dhana au mawazo mawili kuwa moja. Ni fungu la maneno ambayo hutumiwa na jamii fulani kwa lengo la kutoa msisitizo wa maadili fulani. Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru. Mfano: Elimu ni ufunguo wa maisha Mtu ni afya Heshima ya mtu ni utu Mtu kwao Maji ni uhai' Msemo unapokuwepo katika jamii kwa muda mrefu halafu ukatoweka basi unaitwa "msimu".

Fasihi simulizi. Your email address will not be published. Nahau Za Kiswahili Nature Adui haanguki anapotupwa. An enemy does not fall down when discarded. The enmity remains. Adui mpende. Love [your] enemy. File Name: nahau na maana zake pdf. Swahili Methali 6. Description Disclaimer.


Replies to “Nahau za kikwetu”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *